Msiilaumu Startimes bana. Huduma yake inaendana na bei yake. Kama unakinunua kwa tshs 39K usitegemee kiwe na quality ya dhahabu.
Subirini hicho cha Continental ambapo naambiwa kitauzwa tshs 160K, mtapata satisfaction, kama at all itakuwepo.
Dah ngoja niwah kwa fundi wa kutengeneza makabati nipate moja local lenye sehemu za kuweka haya mang'amuzi, hapa nianoyo kama matatu hivi tayari.