Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Kamati kuu ya Washauri ni Ntobi, Ezekea Wenje na Yericko. Hawa ndo washauri wakuu wa Mbowe. So lazima Mbowe awe alivyo ana watu hao katika washauri. Na Martin MM. Anaongezeka. Kisha kuna Sugu baba lao.
Lissu lazima akae. Washauri wa Mbowe... Watu wenye uelewa,wasomi wapo makini wana uzoefu wa mapambano ya maneno. Yericko nadhani mmeshamsoma humu akiamua kutukana hamtamweza.
Ntobi yeye ana Masters Of Matousy. Akiamua kutukana hauwezi mzuia. Hawa jamaa ukiwauliza sera za Mbowe ni nini hawajui. Ila wanampambania Mwamba.
Ntobi anakaa kwa Boni Yai sijui kama amehama. So lazima afuate Yai linasemaje kisha afuatishe. Na alikuwa anakaa kwenye mabanda akisaidia kuokota mayai.
Mwamba tuvushe. Tuvushe Mwamba tupo vibaya. Mwamba Mitano na Samia mitano tena.