Mmojawapo wa viongozi wa juu wa Alshabaab ajisalimisha

Mmojawapo wa viongozi wa juu wa Alshabaab ajisalimisha

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ameamua kuachia uongozi na kujisalimisha kwa jeshi, hivyo atakua wa msaada sana katika kuwafuata wengine. Cha msingi ni kuwa makini naye asiwe anazuga tu na anatafuta mwanya wa kufanya yake baada ya kuruhusiwa kuingia maeneo nyeti.

57765f67949028f8d4ca00a5be880db2.jpg

According to a statement by the African Union Mission in Somalia (AMISOM), Mukhtar's decision was courageous and called other fighters in the terror group to surrender to authorities before they are wipe out.

AMISOM through Twitter account welcomed the surrender by Al-Shabaab leader, Hussein Salad Mukhtar to the Somali National Army.

AMISOM also called on Al-Shabaab fighters to heed the Government’s amnesty, lay down their weapons and join other Somalis in rebuilding their country.
The extremist group in Somalia wants to topple the western backed government and impose its own strict version of Islamic Sharia Law.

The Al-Qaeda affiliated Al-Shabaab has ruled most of south-central Somalia for years until in 2011 when the extremist group was driven out of Mogadishu by African Union troops.

Despite the loss of territory, the terror group still carries out major gun and bomb attacks against nations that have contributed troops to AMISOM.
Hussein Mukhtar, Al-Shabaab Top Leader Surrenders to Somali Army
 
There is no good in this fight, let them surrender, join others in rebuilding Somalia and let us do business to prosper our region
 
Anaonekana kama Shehe huyu gaidi

Afu naona umetumia picha ya Makonda wakati analia kama avatar yako, jameni hivi mbona mnamsakama huyu jamaa kiasi hicho, vita dhidi ya unga/madawa sio rahisi, mlifaa kumpa hamasa na sio kumkejeli kiasi hiki. Watoto na vijana wenu na jamii ndio itazidi kuumia pale Makonda atashindwa.
Nilitazama video ya huyo Gwajima, yaani anayojitapa sio kama mhubiri wa injili. Mnafaa kumuachia Makonda amalize kazi aliyoanzisha.
 
Back
Top Bottom