Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,451
Kama kweli kuna matatizo katika shule za msingi kwamba kuna matendo maovu yanatokea;inafaa Wizara ya Elimu ifanye utafiti kujua, siyo nanai nafanya haya mambo ya ovyo,isipokuwa kujua asilimia ngapi ya wanafunzi wanafanya haya mambo. Watoto wa shule za Msingi kadhaa wapewe questionaire,waulizwe,'umewahi kulawiti? Kulawitiwa? Mara ngapi? Wataalamu wa Takwimu wanaweza kutayarisha maswali,ili ifahamike kama kuna matatizo au kama vipi?
Sijui kama watakubali,ingawa inasemekana wazazi wanalia machozi wakisikia watoto wao wamefanya madudu shuleni. Most important sijui kama wanafunzi watakubali,kujibu maswali anonimously,kuiwezesha Serikali ijue kiwango cha tatizo.