son_african_star
Member
- May 30, 2023
- 9
- 15
mmong'onyoko wa madili kwa watoto
mmong'onyoko wa madili kwa kiasi kikubwauchangiwa na mzazi mlez au mtu wa karibu.
wazazi uchangia kualibika kwa watoto unakuta mzazi anajari kazi zake mda wote hata ana mda wakukaa na watoto zake mambo yote anamuachia mfanyakazi wa ndani bila kujuwa niwajibu wake kutenga mda wakukaa na mtoto wake na kutatua changamoto zinazomkabiri.
kumpa uhuru mototo afanye anacho taka uchangia kualibika kwa watoto, utumiaji wa simu na mitandao ya kijamii uchangia kupolomosha madiri ya jamii usika mana mtandaoni kuna mambo mengi namengine yasio fahaaa kunekana kwa watoto.
Mlezi uchangia kupolomosha madiri Kwa watoto unakuta mtoto wa kike anatoka karibia lisaaa ujuwi halipo nahanarudi nyumbani umuhulizi chochote unategea mimba za utotoni zitakomeshwaje?
mtoto anakuja nyumban na vitu vya garama wala umuhulizi zaidi ya kuvipokea na kumhupa ongera ujuwi kavitolea wapi kafanya nini hadi kapata hivyo vitu.
Pia kukosa maitaji muhimu uchangia kwa watoto kuingia katika mambo yasio fahaa.
watu wa karibu uchangia kuhalibu watoto kwa kuwashawishi kuhingia katika mambo yasio faha kana utumiaji wa pombe bangi madawa ya kulevya kuwashawiahi watoto wa kike kufanya nao ngono kwakuwapa vitu ela navitu vingene vingi, nakuwafanya kuingia katika tamaa nakusabIsha hadhari na magonjwa ya zinaa zisizotarajiwa pia kupata. VVU.
mimi naona hendapo mzazi au mlezi akiwajibika ipasayo hinaweza kusaidia mmong'onyoko wa maadiri katika jamii usika.
Tenga mda maalumu wakukaa na mtoto msikilize changamoto zinazo mkabili mpe maitaji muhimu mjenge kifikra kumfanya awe salaamaa wakati wote.
Mmng'onyoko wa madili kwa vijana.
Vijana wengi walijikuta katika wakati mgumu basipo kutarajia, hii yote imesababishwa na kufata mkumbo bila kufikilia sehemu anayo ingia kuna madhara gani na faida gani, anaweza kuingia katika matumizi ya miadahati ulevi kupitiliza utumiaji mbaya wa fedha anazopata bila kujari kipato anachoingia kwa siku nishingapi na matumizi. Anayotumia yana mgalimu shingapi, Mwishowe kuwa na tamaa zisizo kuwa na msingi upelekea kuwa wezi.
kuhatarisha jamii nakupelekea mmong'onyoko wa maadili
Kupenda mtelemko au kujikuta vijana kujingiza katika biasharaa alamu na kupoteza nguvu kazi ya taifa.

Upvote
1