Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
hapa ni chitchat mkuu.... MMU ni mtaa wa piliKwa sababu marinda nnayo, sitasema mengi maana ndo akili zenu watu wa mmu hizi
hapa ni chitchat mkuu.... MMU ni mtaa wa pili
ila kumbuka maisha ni uchaguzi na kila mtu ana lengo lake la kuwa hapa JF siyo kila mtu ni mpenzi wa kelele za siasa au simulizi za kijasusi
kwahyo umekosea sana kutukashifu watu wa hili jukwaa...
Kweli wewe ulikua ni mjinga kama ulidhani ujinga ni tusi
Sina cha kuongezea tena hapo,
Naenda Jamii Intelligence, ntapitia the Palace, halafu nitapitiliza Jukwaa la Wakubwa
TGIF
Ulikataliwa nini?Sina cha kuongezea tena hapo,
Naenda Jamii Intelligence, ntapitia the Palace, halafu nitapitiliza Jukwaa la Wakubwa
TGIF
Hongera.Hapana
Kweli "dhambi ya ubaguzi kama nyama ya mtu, ukiionja tu huwezi acha" in someone's voice.
Kutoka kuwaona watu wa fb, instagram nk nk nk kama watu wenye IQ ndogo na hawatoshi kwenye level ya GT(ingawa si wote) mpaka kuanza kubaguana based on majukwaa ya humu humu JF, Duh!
Na ww pia huna akali ndio maana ukapost hukuSina cha kuongezea tena hapo,
Naenda Jamii Intelligence, ntapitia the Palace, halafu nitapitiliza Jukwaa la Wakubwa
TGIF