The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Wiki ijayo natafuta BANMtu wa ku qualify kiti cha Biggie... awe walau na vigezo vifuatavo...Mie niki observe hapo waingia # 5 na atleast # 4 BUT the above 3....mmmmh!
- BAN sio chini ya 3..
- ID sio chini ya 3..
- Uwezo wa kumtia tumbo joto PAW..
- Special scent.. ukipita mahala... Members wanajua eeh kweli mrithi wa Biggie kapita
- Anapita kila Jukwaa...
Aseee!!I miss her the MOST....Ni dada wa KWANZA kunipokea hapa JF kwa mengi... na ushauri hasa via PM... I love that lady...
we gave Manure too much respect... it was all for the takingAseee!!
Maini yamegoma kuliwa mabichi leo!!
Duh!!
Mkuu whereabouts za NILHAM aisee Afrodenzi anamuulizia sana
:eyebrows:Karibu Biya kwa mahindi ya kuchoma....Nimependa hii
ongea vizuri........supu ya ngumi ipo??we gave Manure too much respect... it was all for the taking
Nammiss kweli Michelle aisee:A S embarassed:
PA nitafutie Burqa kuna mtu nataka nimvalisheKabisa!!! lol.... Naomba tu lia kwa sauti...
Mkuu hebu du ze nidful banaayu ala halua kwa gahwa....mi miss sana hii mutu!
taratibu.......pamoja na uwezo wako wa kuwapangua vijana wote hapa ukajinyakulia yule Mnyange,yu ala halua kwa gahwa....mi miss sana hii mutu!
nini supu ya ngumi... kuna makange ya mkia pale kwa mbaga (mbezi/kawe) na 8 packs za fire extinguisherongea vizuri........supu ya ngumi ipo??
Kama unasafiri hivi karibuni unambie aseee!!
Unaweza kubahatika!! hahahahaa!!
Hahaha!!! Aisee we jamaa iko na kumbukumbuku yeleuwiiiiiiiitaratibu.......pamoja na uwezo wako wa kuwapangua vijana wote hapa ukajinyakulia yule Mnyange,
Leo unasema hujui alipo??!!
Aseee!!!
Duh!!
Dah!! 8 Packs of fire extinguishernini supu ya ngumi... kuna makange ya mkia pale kwa mbaga (mbezi/kawe) na 8 packs za fire extinguisher
BTW.... andaa caravan kuanzia dec 20 ya nothern zone adventure... kuna haja ya kuanzia tanga, na kumalizia karatu.... SERIOUSLY
yeah cousin, thats for men, men and only men!!! Biggy na GY wanajua mziki wake... hiyo huwa inaanzia saa mbili asubuhi..........and it kills the whole day!!! Babu ana inni kama la sungura, extinguishe tatu tu kwisha kaziDah!! 8 Packs of fire extinguisher
Huyu mtu karudi na madini na makaa ya mawe ya kutosha kwa ajili ya ku-supply umeme kwenye baa zote za DarjAMANI GY KARUDI??? NASKIA ALIKUA TUNDURU ANATAFUTA MADINI
Dah!!! You are killin me na vicheko lol, babu uwezo wake kwa bwawa la kidatu ambalo halina majiyeah cousin, thats for men, men and only men!!! Biggy na GY wanajua mziki wake... hiyo huwa inaanzia saa mbili asubuhi..........and it kills the whole day!!! Babu ana inni kama la sungura, extinguishe tatu tu kwisha kazi