Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwema humu?
wajameni.. kuna wadau wema wa MMU Jijini humo?😉😉🙂
nawakilisha
Shukrani..Nipo Otjiwarongo mkuu, leta habari; kuna majamaa flani wa-kibongo, nlikutana nao Oshakati last month ila sijui kama ni ma-memba wa JF
Mkuu mbona maji ya dhahabu yako yakutosha kabisa; kuna - Hansa Urbock ,Camelthorn Red ,Camelthorn Sundowner ,Camelthorn Summer Ale, Camelthorn Weizen ,Oshikundu etcShukrani..
Hiyo ni ndani ya Widhoek
Majukumu yamenidondosha jijini hapa kwa muda ... baada ya kazi nang'aa macho kama fundi saa... siku zinakuwa ndefu balaa..
Msosi hadi nipange foleni Nandos..KFC..
Maji ya dhahabu ndo ukame kabisa
Ngoja nisikizie nikiendelea kuhesabu siku..
Mambo mazuri haya sioni... mie naona maghorofa yasiyo na watu... majangaaMkuu mbona maji ya dhahabu yako yakutosha kabisa; kuna - Hansa Urbock ,Camelthorn Red ,Camelthorn Sundowner ,Camelthorn Summer Ale, Camelthorn Weizen ,Oshikundu etc
Shukrani..
Hiyo ni ndani ya Widhoek
Majukumu yamenidondosha jijini hapa kwa muda ... baada ya kazi nang'aa macho kama fundi saa... siku zinakuwa ndefu balaa..
Msosi hadi nipange foleni Nandos..KFC..
Maji ya dhahabu ndo ukame kabisa
Ngoja nisikizie nikiendelea kuhesabu siku..