MMU mpo Windhoek?

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
2,469
Reaction score
284
kwema humu?

wajameni.. kuna wadau wema wa MMU Jijini humo?πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ™‚

nawakilisha
 
kwema humu?

wajameni.. kuna wadau wema wa MMU Jijini humo?πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ™‚

nawakilisha

Nipo Otjiwarongo mkuu, leta habari; kuna majamaa flani wa-kibongo, nlikutana nao Oshakati last month ila sijui kama ni ma-memba wa JF
 
Nipo Otjiwarongo mkuu, leta habari; kuna majamaa flani wa-kibongo, nlikutana nao Oshakati last month ila sijui kama ni ma-memba wa JF
Shukrani..
Hiyo ni ndani ya Widhoek
Majukumu yamenidondosha jijini hapa kwa muda ... baada ya kazi nang'aa macho kama fundi saa... siku zinakuwa ndefu balaa..
Msosi hadi nipange foleni Nandos..KFC..

Maji ya dhahabu ndo ukame kabisa

Ngoja nisikizie nikiendelea kuhesabu siku..
 
Elezeeni fursa zilizopo kiuchumi tuje kuwekeza huko
Ndo wanatafutwa waliofika kabla tubadilishane mawazo...japo Kifupi Kaburu Kashajitanua kwenye Jiji. Mswahili namwona Nche Temba anapambana. Fursa zipo
 
he!!.....sasa na ile Windhoek ya baridi huwa inatoka wapi........?
pls usije ukaniambia ni Unga ltd.......nikafwaa bure........
 
he!!.....sasa na ile Windhoek ya baridi huwa inatoka wapi........?
pls usije ukaniambia ni Unga ltd.......nikafwaa bure........[/QUOTE
JipangeπŸ™‚u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…