Dhambi kabisa Bishanga....huyu kongosho huyu we mwache tu manake anajuana mwenyewe na mungu wake...we SL,hivi mtu kutokujua jinsia yake ni zambi?
Bora na wewe umeona...khaaa! Husn anataka kunivunjia ndoa au?nvi petrol ni nani arrrooo? mbona PAW anasema hajawahi kusajili mtu kama huyo?
Hapo sawa. Ngoja nimtume AshaDii akanisaidie kumwuliza.Ashadii rafiki yake mkubwa ni Eliza wa Tegeta,cheki naye basi.
tendawili,tega,yuko jf na hajui gender yake.....nikupe mji SL?Dhambi kabisa Bishanga....huyu kongosho huyu we mwache tu manake anajuana mwenyewe na mungu wake...
Ngoja The Boss akipita pande hizi atatusaidia kutegua kitendawili..
weeeeee,nilikuwa natania tu,Ashadii anamvyomgwaya E wa Tegeta,subutu yake hawezi kum face.
Hapo sawa. Ngoja nimtume AshaDii akanisaidie kumwuliza.
ujue unani disturb maana niko bize nauandaa,huo ni special kwa wakware wa mmu wakiongozwa na TF,Fidel na Bujibuji.
Awali ya yote niwashukuru kwa michango yenu na kuwatakia kipindi chema cha kumalizia mwaka.
Ombi kwa wadau wa mmu:
Hebu jikunjeni hapa mmwage uzi mzito wa kufungia mwaka yaani uwe pasua kichwa mpaka wachangiaji vichwa vichemke.
Mimi naandaa wa kwangu,title:
'Ukitaka kutongoza mke wa mtu tumia mbinu hizi'.
naisubiria kwa hamu,ngoja nimwambie na Aspirin akae mkao wa kula.
naisubiria kwa hamu,ngoja nimwambie na Aspirin akae mkao wa kula.