FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Ninahisi baadhi ya threads ni za kutunga tu....
kama ipi??!Ninahisi baadhi ya threads ni za kutunga tu....
Yeahhh, sijui watu hua wanafanya hivyo ili iweje.
kama ipi??!
Ninahisi baadhi ya threads ni za kutunga tu....
Hizo ni stress tu za maisha ndugu yangu.................................
Na JF especially MMU ndio mahala pake pa kuondolea misongo na mikengeuko ya maisha hususana ya ndoa...............
Wakatungie pale chit chat Vin Diesel ......mie kila nikitafakari sipati majibu
msamehe!chukulia hiyo ya kusema unauza mke...na anasema bidhaa ikiuzwa hairudishwi...
1.Mke wangu ana Mimba ya Wajanja!
2.Nauza Mke Wangu!
3.Ndoto ya mke wangu imepunguza Upendo na amani!
4.Atorokwa na Mke Siku moja baada ya harusi!
5.Nimechoshwa na huyu mwanamke ..!
Kulikoni mbona kila kukicha ni matatizo wanawake wanawake nini kimetokea ...?:A S-coffee:
Kwa mahesabu ya kutoka jtatu mpaka leo naona ndoa za baadhi ya wana JF ni za kuuunga unga na gundi ..:A S embarassed:
Wanawake siku hizi wamewehuka mwenyewe nimekimbiwa na mchumba dakika ya mwisho nataka nirushe uzi