MMU week hii dah!!

Wanaume wana nguvu za nje tu, mioyo yao ni dhaifu sana; ndo maana wakipata migogoro kidogo ya mapenzi wanatafuta kifua cha kulilia (JF) na wengine wanatafuta wrong solution kama vimada na ulevi. Lol.:A S 465:
 
Wanaume wana nguvu za nje tu, mioyo yao ni dhaifu sana; ndo maana wakipata migogoro kidogo ya mapenzi wanatafuta kifua cha kulilia (JF) na wengine wanatafuta wrong solution kama vimada na ulevi. Lol.:A S 465:
:lol::lol:...Haya bana nyumba kubwa
 

Ni "season" hujui kuwa watu saa hizi wana mawazo ya zawadi? inabaki "amma mimi amma yeye". Ikifika January kila mmoja anamtafuta mwenzake.
 
Inawezekana ikawa watu wanachangamsha tu kijiwe...mbaya zaidi wachangiaji hatujui ipi ni thread ya kweli na ipi twazinguliwa tu....

kweli kabisa wanachangamsha kijiwe.
 
Ni "season" hujui kuwa watu saa hizi wana mawzo ya zawadi? inabaki "amma mimi amma yeye". Ikifika January kila mmoja anamtafuta mwenzake.


hahahahhahaha January tena ndo anarudi na gia ya shetani alinipitia
 


Umeona eeh!! FL1!!!...Halafu watu wanadai MMU hakuna pressure!!!!....Sijui NN yuko wapi akugongee tano.

 
Last edited by a moderator:
Wanawake mnatupasua vichwa, wangu nae majuzi alinipigia simu, simu ya kuslide, kwenye kuislaidisha haikuslide mpaka mwisho ikajirudi, simu ikakatika. Kaninunia mpaka leo anasema nilikuwa na mwanamke. Ngoja nifungue uzi, FirstLady ongezea namba 6, Nauza mke part.2
 

He he he hiyo thread ya mke wangu ana mimba ya wajanja sijaiona ngoja niitafute..my dear nyie wanawake ni wasiri so hata mkipata matatizo ni vigumu kusema ndo maana humu wengi tunaolalamika ni wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…