MMU week hii dah!!

Hapa mnadiskasheni nini?

Mmeiona sredi ya kinadada mnaomnyemelea mme wa eliza saa tisa usiku?

Hii ndio MMU ya mwaka huu! Bora mwaka uishe labda zilipendwa zitarudi tena kwenye chati...
 
Hapa mnadiskasheni nini?

Mmeiona sredi ya kinadada mnaomnyemelea mme wa eliza saa tisa usiku?

Hii ndio MMU ya mwaka huu! Bora mwaka uishe labda zilipendwa zitarudi tena kwenye chati...

Babu na Nyie mnakosea kwa nini hamuwatongozi mpaka wanaanza kujiliza wenyewe ,,,kweli siku hizi mapenzi mtafutano
 
Kosea ktk yote lakini usikosee kuoa
 
shangazi nimepita tu wala sijaona ulicho post. heri tu ya mwaka mpya na x-mass

Nyoko dear.... Mimi really really happy ume-quote hata kama hujasoma....lol

Nafurahi kwa salamu zako na nimezipokea.... Nami naomba usome Sig yangu a

ded to JF members you among them. Regardz to the family...
 
Ashadii usiwe unapotea hivo mpendwa ..umeona mambo ya MMU ya sasa lol my wife, my wife

hahahaa.... Nimekamatika Mpenzi ingewezekana kutoa adhabu ningetoa.... lol.. Alafu cha ajabu hapa hapa jamvini utasikia oooh' wanawake walalamishi saana... Sijui sasa kwa vigezo vipi hali hapa jamvini imeprove otherwise.... (Naogopa kukutumia pm; Eliza atasoma siri zetu lol)
 
Babu na Nyie mnakosea kwa nini hamuwatongozi mpaka wanaanza kujiliza wenyewe ,,,kweli siku hizi mapenzi mtafutano
Eishhhh.....yani tutongozane midume kwa midume........?

Stuka!!!😛hoto:
 
Hawa wanaume bila kutuongelea sisi wataongelea nini,bila hadisi zinazotuhusu nani atachangia,na kule kwenye makwanda na mamgamba ban nje nje,acha watuongelee tu nyoyo zao zifurahi na wapunguze mawazo,nyingi hapo ni za kutunga hazina ukweli kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…