Useful Comment!Eiyer mambo vipi ..kwanza ningependa kusema hatuwezi ku control mawazo ya mtu.. Huyo wa Chileanaweza aingie huku akasoma kitu acha maanasana na akakidharau au anaweza soma kitu cha kijinga akacheka na kukipenda..Mbili tunavyojibu poster hapa hatujibu ajiliya mtu wa Chili bali tunajibu poster kutokana na swali hatuko hapa kufurahusha wengine bali kutoa majibu na ushauri kadiri ya uwezo wetu..tatu kila mtu huku ni tofauti kuna wenye akili sana na experience nyingi za maishana kuna wengine ndio wanabaleehe kwa hiyo majibu yao na michango lazima yatakuwatofauti sana..nne ndio kuna michango ya 21st century ( kizazi kipya) na kuna wale wa 1947 ambao ukisoma poster zao nyingi hazina milipuko... sasa huyo mtu wako wa Chileni wa Karne ipi??tano ni kweli tunawakilisha Nchi yetu hapalakini si kila mtanzania ni Perfect .. lazima kutakuwa na makokorocho... Kwa hiyo na huyo Mchile anatakiwa agundue hilo kamayeye ana busara na am treat kila mtu individual Nway baadaye samahani kwa maandishi mengi ..
Kama vile mi navyowawakilisha wajukuu zangu!Kumbe watu wanawakilisha nchi humu?!Mi hata kabila siwakilishi...najiwakilisha mimi mwenyewe kama Bhoke!Heeheheh...weekend njema!
Kwavile mimi sio mmoja wao nachagua kukubali ...INAWEZEKANA!!Ila wazee wengine bwana ahhhhhh.......!!Kama vile mi navyowawakilisha wajukuu zangu!
Sidhani...nnapoandika siwakilishi nchi...kabila...ukoo wala familia yangu.Mawazo ya watu wachache hapa haiwezi kuwekewa lebo ya taifa!Lizzy faham kuwa unachoandika humu kinawakilisha unachowaza,kama kinawakilisha unachowaza mtu yoyote duniani anaweza kuyaona mawazo yako kupitia ulichoandika,na pia kama wewe ni mtanzania anaweza kupata idea kuwa watanzania wana mtazamo gani kwenye masuala ya mahusiano kupitia wewe!