mna angalia jinsia kukarbishana

mna angalia jinsia kukarbishana

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,549
naona walio jinsia ya me wanapo bisha hodi hamuwakarbishi ila ke wanapo bisha hodi reply znakuwa za kutosha... potelea mbali ndo tusha ingia hvyo....
 
Humu mbona ni ngumu sana kujua jinsia ya mtu? Karibu sana jamvini, wanakamati ya mapokezi wametoka kidogo. watu8, Globu, Ulimakafu n.k sikieni kilio cha huyu mgeni.
 
Last edited by a moderator:
Acha urongo...jinsia ya mtu mgeni unaitambua vipi?
Hata karibu yangu sitakupa kwa kuwa hujanishawishi kwamba wewe ni mwana fikra pevu...

naona walio jinsia ya me wanapo bisha hodi hamuwakarbishi ila ke wanapo bisha hodi reply znakuwa za kutosha... potelea mbali ndo tusha ingia hvyo....
 
naona walio jinsia ya me wanapo bisha hodi hamuwakarbishi ila ke wanapo bisha hodi reply znakuwa za kutosha... potelea mbali ndo tusha ingia hvyo....

Hatuna ubaguzi ndugu, wote kwetu ni sawa akiwa me/ke haijalishi. Karibu sana jamvini.
 
Acha urongo...jinsia ya mtu mgeni unaitambua vipi?
Hata karibu yangu sitakupa kwa kuwa hujanishawishi kwamba wewe ni mwana fikra pevu...

Msamehe kaka, mtoto akinyea kiganja hakikatwi.
 
Asanteni sana and kma nimewakwaza naombeni samahani/ msamaha
 
Back
Top Bottom