Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
Humu mbona ni ngumu sana kujua jinsia ya mtu? Karibu sana jamvini, wanakamati ya mapokezi wametoka kidogo. watu8, Globu, Ulimakafu n.k sikieni kilio cha huyu mgeni.naona walio jinsia ya me wanapo bisha hodi hamuwakarbishi ila ke wanapo bisha hodi reply znakuwa za kutosha... potelea mbali ndo tusha ingia hvyo....
naona walio jinsia ya me wanapo bisha hodi hamuwakarbishi ila ke wanapo bisha hodi reply znakuwa za kutosha... potelea mbali ndo tusha ingia hvyo....
naona walio jinsia ya me wanapo bisha hodi hamuwakarbishi ila ke wanapo bisha hodi reply znakuwa za kutosha... potelea mbali ndo tusha ingia hvyo....
Acha urongo...jinsia ya mtu mgeni unaitambua vipi?
Hata karibu yangu sitakupa kwa kuwa hujanishawishi kwamba wewe ni mwana fikra pevu...