Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Familia imesema lini wewe ndala? Watu wako bize kumtafuta kijana wao wewe unawaza ujinga! Labda tamko hilo limetolewa na mzee akilimali.Sasa itakuwaje?!
Familia imesema haiutambui mkataba wa uwekezaji wa Bil 20 zile kwani yale yalikuwa makubaliano binafsi baina ya Mo na Simba.
Sasa najiuliza Manara ROPO atakuja na ipi gia?!
Tuliza mzuka bro.Familia imesema lini wewe ndala? Watu wako bize kumtafuta kijana wao wewe unawaza ujinga! Labda tamko hilo limetolewa na mzee akilimali.
Nimecheka kwa sauti.Tumsubiri Hadija maana katoka kuwa msemaji wa Club hadi kuwa msemaji wa familia.
Familia yao hawana hata mzuka wa kuongelea biashara zao wanawaza mtoto wao nyie mnaleta upuuzi eti familia imesema, wana huo muda wa kujibu maswali ya dizaini hii kwa sasa?Tuliza mzuka bro.
Mlishawavunja moyo! wakati wa mchakato wa kupata mwekezaji mlionesha upendeleo wa dhahiri kwa MoSimba ilisha ingia moja kwenye mfumo wa hisa... kama sio mo ata tokea mwengine ata nunua hisa na watakuja wengine na wengine
Na ilikua ni busara kufanya vile... yeye alisha anza kutoa pesa kusaida team... yeye ndio mtu alie leta wazo la kuwekeza simbaMlishawavunja moyo! wakati wa mchakato wa kupata mwekezaji mlionesha upendeleo wa dhahiri kwa Mo