Mna uhakika CHADEMA wakipewa dola wataweza kuwafikisha katika nchi ya ahadi kama wanavyoimba majukwaani?

Kuweza kuunda serikali CDM watu wote wataufatA tuu
 
Wametoa ahadi haswa 😭😭👇🏿
 
Kwanza hakiwezi kupewa dola na wananchi.Chama sera yake ni kuzuia uchaguzi kitapewaje dola
 
Wapewe Dola wakishindwa kitekeleza wanawekwa pembeni anachukuliwa mwingine,hatuwezi kusema watashindwa wakati hatuja wapa washindwe
 
Chadema haizuii uchagizi Bali inataka tuingie kwenye uchagizi wa haki hata wa ccm uwe wahaki sio Kama walivyo fanya kuteua mgombea ukihoji unafutiwa uanachama
kweli kabisa mkuu naunga mkono hoja
 
binafsi kwa sasa, naamini waanze kwanza kwa kupata wabunge wengi ila kushika nchi wasubiri kwanza. hata huyo mama yenu ana hofu ya bure tu, hata chadema wenyewe walichojua wanaweza kuambulia ni wabunge ambao tunawahitaji kufanya balance kwenye bunge.
 
naunga mkono hoja
 
ni ngumu sana, binafsi siamini kabisa kama upinzani unaweza leta maendeleo wanayoyahubiri, after all Mtu mweusi mtu mweusi tu. Ila CCM inatosha tena, washatutesa vya kutosha
 
ni ngumu sana, binafsi siamini kabisa kama upinzani unaweza leta maendeleo wanayoyahubiri, after all Mtu mweusi mtu mweusi tu. Ila CCM inatosha tena, washatutesa vya kutosha
hahahahah
 
Mada yako umeiharibia huku huku juu, hata sijui huko chini kuna kipi cha kuinusuru mada nzima.
Kilicho muhimu zaidi ya yoote uliyo eleza hapo juu kwa ssasa hivi, ni kuinusuru Tanzania kutoka kwenye mikono miovu ya Samia na Genge lake.
Hizo anasa unazozunguka nazo hapa; hayo ni mambo ya baada ya kujinasua toka kwenye uhallifu huu tunaofanyiwa na GENGE hili.

Hakuna asiyejuwa uovu wa waliopo kwenye madaraka sasa hivi; sasa kwa nini tuogope hao wanaosema watarejesha HAKI kwa wananchi, ili wachague wenyewe viongozi wanaowataka wenyewe!
Kuna jambo zuri na la msingi zaidi ya hilo?
 
hayo ni maoni yako sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…