RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Mkuu kwani maana ya 'nguvu' ni nini katika muktadha huo?Kinachowapa kiburi ni hayo mabunduki wanayobeba, ila wakiwa hawana hao ni tembele tu
Tena mpyaaaaNa bunduki wanazo???
Hao siyo JW hao ni vijana ambao walikuwa wanapewa mafunzo ya kijeshi kila wilaya wakiitwa jeshi la akiba ndio hao kila wilaya nchi hii kipindi cha kampeni hawa vijana walikuwa wanapewa mafunzo ya kijeshi chini ya usimamizi wa wakuu wa wilaya ndio hao wamebadilishwa tu mikoa na silara walizopewa ni zile za Abdul
Apo ndo tulipofikia mazee kama urusi tu wale masenaries tuKwahiyo Hadi sasa nchi hii Ina majeshi ambayo yapo loyal kwa MTU na mengine kwa taifa!!?
How come mtu binafsi anaanzisha jeshi lake kizembe hivi!!?
Green card kwa mfumo wa serikal ya saa muya wanapokea mshahara kama jesh lingine na wanahadh ya jeahNimepita Kigogo roundabout jioni ya leo nimeona hawa JW ni vijana wadogo wenye ndevu.
How comes?
Je, ndo maana wengine wanavaa mask kuficha sura zao tusijue kuwa hawa ni UVCCM?
Kwa nini jeshi linachezewa hivi?
SMG ya kisasa zaidiNaaam na silaha ni mpya kabisa wengi hawajaligunduwa hili
Labda umma nao ubebe bundukiMkuu kwani maana ya 'nguvu' ni nini katika muktadha huo?
Kwa mfano mtu akisema 'Serikali ina nguvu' wadhani ni nguvu za masumbwi au mieleka?
Ni hayo masilaha ndiyo nguvu yenyewe hiyo, lakini 'nguvu' ya umma inashinda nguvu ya mabunduki.
Kama kiburi cha watawala kuona waTz wote ni nyoko, D9 ni D day, baada ya hapo watakaokuja kutuamua siyo sijui tume ya maridhiano hiyo ya kitapeli tena.Labda umma nao ubebe bunduki