Mna uhakika simba alishinda jana?πŸ˜ƒ

Mna uhakika simba alishinda jana?πŸ˜ƒ

Escotter20

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2020
Posts
505
Reaction score
960
π— π—”π——π—¨π—‘π——π—¨π—žπ—”

Just imagine wewe KOLO umelipia App yako halafu admin anakudanganya Waziwazi Dakika ya 71 Chambi anatoka then Dakika ya 88 anafungaπŸ˜‚.

Kweli nimamini maneno ya Mzee wangu Rage.....

NB;#ZAANDANIIIII Kipa wetu Kagoma kutolewa kwenye system kwasababu hakupenda Kuumia,Kawapa sharti moja tu kama hamtoweza kumvumilia basi mvunje mkataba wake aliosani wa Mwaka 1😁.
 

Attachments

  • FB_IMG_1722242649064.jpg
    FB_IMG_1722242649064.jpg
    54.7 KB · Views: 1
Kumbe.....vitenge fc hyo App mliyonayo ni ya kuagizia majora ya vitenge..sidhani kama ni App ya mnyama...
 
Back
Top Bottom