Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Mkuu ni kabinti au kakijana kakiume? Kunasomo primary miaka hii so wanajua vizuri matumizi wamefundishwa hata kama hajawahi lakini warning ya mwalimu wa somo imemkaa.Tofauti na habari hakuna kingine naangaliaga na watoto.. maana najuaga siku hizi ushenzi mwingi sana.. kuna siku lilikuja tangazo la HIV/AIDS Yule jamaa alidanganya kuvaa kondom. Halaf akaingusha chin mwanangu akaniishtua et baba hajavaa.. kama mimi sikubali.. Halaf shangz ake aliikuwepo pia.. Ndo ikawa ban yang hiyo kwenye li T.V
nimeona aibu mimiTofauti na habari hakuna kingine naangaliaga na watoto.. maana najuaga siku hizi ushenzi mwingi sana.. kuna siku lilikuja tangazo la HIV/AIDS Yule jamaa alidanganya kuvaa kondom. Halaf akaingusha chin mwanangu akaniishtua et baba hajavaa.. kama mimi sikubali.. Halaf shangz ake aliikuwepo pia.. Ndo ikawa ban yang hiyo kwenye li T.V
Mkuu..Haya matangazo hunipa ukakasi sana.. Hasa ya mipira ya kufanyia ngono..yaani mapumziko mafupi katikati ya taarifa ya habari ni kuangalia mtu mume na mtu mke wakifanya matendo ya mahaba yanayoashiria tupu zao zaelekea kukutana!!!!?Tofauti na habari hakuna kingine naangaliaga na watoto.. maana najuaga siku hizi ushenzi mwingi sana.. kuna siku lilikuja tangazo la HIV/AIDS Yule jamaa alidanganya kuvaa kondom. Halaf akaingusha chin mwanangu akaniishtua et baba hajavaa.. kama mimi sikubali.. Halaf shangz ake aliikuwepo pia.. Ndo ikawa ban yang hiyo kwenye li T.V