GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
We jamaa unalalamika sana..Kama mnajiamini ombeni hata kwa bahati mbaya tu Mechi ya Kirafiki na Safiri Mafungu Mafungu FC mcheze nao mkione cha mtema kuni na Golini hakutokuwa na Kipa kwakuwa ameumia Kimiujiza akiwa amekaa tu katika Kiti chake akichati na Mkewe Kwao Pele Ronaldo Gaucho Neymar Nation.
Roho mbaya itakuwa we koloboiKama mnajiamini ombeni hata kwa bahati mbaya tu Mechi ya Kirafiki na Safiri Mafungu Mafungu FC mcheze nao mkione cha mtema kuni na Golini hakutokuwa na Kipa kwakuwa ameumia Kimiujiza akiwa amekaa tu katika Kiti chake akichati na Mkewe Kwao Pele Ronaldo Gaucho Neymar Nation.
Ana mimba ya YangaWe jamaa unalalamika sana..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama mnajiamini ombeni hata kwa bahati mbaya tu Mechi ya Kirafiki na Safiri Mafungu Mafungu FC mcheze nao mkione cha mtema kuni na Golini hakutokuwa na Kipa kwakuwa ameumia Kimiujiza akiwa amekaa tu katika Kiti chake akichati na Mkewe Kwao Pele Ronaldo Gaucho Neymar Nation.
Kwani hata mwaka jana walienda wapi zaidi ya kubaki hapo hapo avic town na kucheza na akina TransitHizi match niza kuimarisha fitness tu, hazina tafasari zaid ya hapo.
Matokeo yake wakabeba mataji yote na kucheza fainali ya CAF.Kwani hata mwaka jana walienda wapi zaidi ya kubaki hapo hapo avic town na kucheza na akina Transit
NaamMatokeo yake wakabeba mataji yote na kucheza fainali ya CAF.
Dah[emoji23][emoji23][emoji23]Ukishaona tu mada za aina hii basi ujue muda wa kwenda kuchukua dawa kule Lutindi, tayari umeshapita.
MosieeeUkishaona tu mada za aina hii basi ujue muda wa kwenda kuchukua dawa kule Lutindi, tayari umeshapita.
Kama mnajiamini ombeni hata kwa bahati mbaya tu Mechi ya Kirafiki na Safiri Mafungu Mafungu FC mcheze nao mkione cha mtema kuni na Golini hakutokuwa na Kipa kwakuwa ameumia Kimiujiza akiwa amekaa tu katika Kiti chake akichati na Mkewe Kwao Pele Ronaldo Gaucho Neymar Nation.
LunyasiSafiri mafungu mafungu fc ndo timu gani hii?? Naombeni code waungwana
Usipomzoea na Kumsoma GENTAMYCINE kwa aina zake Nne ( 4 ) za Uandishi na Uwasilishaji wake wa Masuala Mtambuka hapa JamiiForums hakika Utamchukia, utapata nae taabu na utamshangaa ila ukiwa na Akili Kubwa kamwe hutomchukia na badala yake si tu Utampenda bali Utamzoea pia.Nimesoma mara 150090 lakin cjaelewa kitu
Kaka muda mwingine pumzika ukae na wajukuu zako
Una gubu km la MKE mwenza.Kama mnajiamini ombeni hata kwa bahati mbaya tu Mechi ya Kirafiki na Safiri Mafungu Mafungu FC mcheze nao mkione cha mtema kuni na Golini hakutokuwa na Kipa kwakuwa ameumia Kimiujiza akiwa amekaa tu katika Kiti chake akichati na Mkewe Kwao Pele Ronaldo Gaucho Neymar Nation.