AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Na watu wanapigwa mm toka nilipofilisiwa na betting sina hamu na kamari kabisaHawa watu wanajitahidi sana kubuni mbinu tofauti tofauti ili wazipige hela za watu(UTAPELI)
Na wanatumia media kwa nguvu kubwa.
WANAKERA SANA. KUNA WENGINE WANATUMIA MEDIA KAMA ITV KUANZISHA KIPINDI KUJIELEZEA WAMEFANYA NINI MIAKA MITANO. TENA WAKATI HUU wa uchaguzi.
Media hizi zinatumika vibaya.