Unafikiria kuwekeza kwenye Hatifungani ya Serikali Tanzania?
Mnada mpya wa
Treasury Bond ya miaka 25 unatarajiwa kufanyika tarehe
24 Juni 2026. Hatifungani hii ina kiwango cha riba cha
13.25% kwa mwaka, na kiwango cha chini cha kushiriki ni
TZS 1,000,000.
Hii ni fursa kwa wawekezaji wanaotafuta uwekezaji wa muda mrefu kupitia dhamana za Serikali.
Taarifa Muhimu za Mnada
Aina ya dhamana: Treasury Bond ya Serikali
Muda: Miaka 25
Kiwango cha riba: 13.25% kwa mwaka
Tarehe ya mnada: 24 Juni 2026
Kima cha chini: TZS 1,000,000
Malipo ya riba: 5 Agosti na 5 Februari
Ukomavu: 05 Februari 2051
Bond No: 695, Issue 18
Mfano wa Makadirio ya Mapato
Ukiwekeza
TZS 1,000,000, riba ya mwaka inaweza kuwa takribani
TZS 132,500.
Kwa kipindi cha miaka 25, jumla ya riba inaweza kufikia takribani
TZS 3,312,500, na jumla ya utakachopokea pamoja na mtaji inaweza kuwa
TZS 4,312,500.
Makadirio haya yanategemea kiwango cha riba cha
13.25% kwa mwaka kwa kipindi cha miaka 25.
View attachment 3611135
Kwa Nini Ushiriki Kupitia TIB Rasilimali?
TIB Rasilimali inakusaidia:
- Kufungua akaunti ya uwekezaji.
- Kukuongoza namna ya kushiriki kwenye mnada.
- Kuwasilisha zabuni yako kwa wakati.
- Kukupa huduma za udalali wa hisa, hatifungani, bima na ushauri wa uwekezaji.
Nani Anaweza Kushiriki?
Unaweza kushiriki kama:
- Mwekezaji binafsi.
- Kampuni.
- Taasisi.
- Kikundi cha uwekezaji.
- SACCOS.
- Mfuko au taasisi yenye fedha za muda mrefu.
Vitu vya Kuwa Navyo Kufungua Akaunti Kupitia TIB Rasilimali
Ili kufungua akaunti ya uwekezaji na kushiriki kwenye mnada wa Hatifungani ya Serikali kupitia
TIB Rasilimali, unahitaji kuwa na vitu vifuatavyo:
Kwa Mtu Binafsi
- Namba ya NIDA
- Kitambulisho halali
- NIDA
- Passport
- Leseni ya udereva
- Kitambulisho cha mpiga kura
- Namba ya simu inayotumika
- Barua pepe
- Taarifa za benki au mobile money
- Kiasi cha kuanzia kuwekeza
- Kwa mnada huu, kima cha chini ni TZS 1,000,000
- Maelezo ya mahali unapoishi
- Saini yako kwa ajili ya nyaraka za kufungua akaunti
Kwa Kampuni au Taasisi
- Certificate of Incorporation au Registration Certificate
- TIN Certificate
- Business License
- Memorandum and Articles of Association
- Board Resolution ya kufungua akaunti
- Taarifa za wakurugenzi
- Vitambulisho vya wakurugenzi na signatories
- Taarifa za benki ya kampuni
- Barua pepe na namba ya simu ya kampuni
Unataka kushiriki kwenye mnada huu?
Fungua akaunti na bid kupitia TIB Rasilimali.
Wasiliana na TIB Rasilimali kupitia:
Simu: +255 754 232 035
Barua pepe: invest@rasilimali.tib.co.tz
Tovuti: www.tibrasilimali.co.tz
TIB Rasilimali, mshirika wako kwenye uwekezaji wa hatifungani za Serikali Tanzania.