NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kuna wakati unaongeaga point hadi nashangaa kama ni wewe. Zoezi zima wangeweza kulifanya tofauti kidogo ila labda muda haukuruhusu au pia walitaka lionekane liko wazi kwa kila mtu hadi wanyonge waweze kubid. Wangefanya tukio hotelini wakaalika wenye pesa zao halafu wakawa na jezi zilizosainiwa, wangeweza kupata maokoto ya hata milioni 100.Nimeona mnada wa Jezi tano zenye majina ya viongozi wa nchi likiwepo jina la Raisi wa nchi Dr Samia suluhu hasan na jina la waziri mkuu kasimu Majaliwa.
NALIA NGWENA nilikua naangalia Nini kitu muhimu katika ile jezi lakini kitu muhimu nimeona ni jina tu La kiongozi hakuna kitu muhimu kingine.
Kama zile jezi zingesainiwa na viongozi husika hakika ingeleta maana kubwa sana hata mtu/shabiki akichukua anaweka ndani Kama kumbukumbu ya jezi iliyokuea na Saini halisi ya kiongozi husika.
Simba sc imefeli pakubwa sana kuuza majina ya viongozi bila Saini halisi maana majina mtu yoyote anaweza kuchapa na kuvaa.
Nawasilisha hoja.View attachment 2704505
Uko sahihi. Jezi ya Mesi iliyosainiwa ni kumbukumbu yangu na ipo kwenye fremu.Nimeona mnada wa Jezi tano zenye majina ya viongozi wa nchi likiwepo jina la Rais wa nchi Samia Suluhu Hassan na jina la Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa.
NALIA NGWENA nilikua naangalia nini kitu muhimu katika ile jezi lakini kitu muhimu nimeona ni jina tu la kiongozi hakuna kitu muhimu kingine.
Kama zile jezi zingesainiwa na viongozi husika hakika ingeleta maana kubwa sana hata mtu/shabiki akichukua anaweka ndani kama kumbukumbu ya jezi iliyokuea na saini halisi ya kiongozi husika.
Simba SC imefeli pakubwa sana kuuza majina ya viongozi bila saini halisi maana majina mtu yoyote anaweza kuchapa na kuvaa.
Nawasilisha hoja.
Hii ni timu ya wote wenye pesa na wasio na pesaKuna wakati unaongeaga point hadi nashangaa kama ni wewe. Zoezi zima wangeweza kulifanya tofauti kidogo ila labda muda haukuruhusu au pia walitaka lionekane liko wazi kwa kila mtu hadi wanyonge waweze kubid. Wangefanya tukio hotelini wakaalika wenye pesa zao halafu wakawa na jezi zilizosainiwa, wangeweza kupata maokoto ya hata milioni 100.
Jezi iliyosainiwa wangesema minimum kubid milioni 2, hapo wengine wangekuja kusema wamebaguliwa.
Ndiyo maana nimesema inawezekana wameenda na utaratibu huo ili kumpa kila mtu nafasi ila wangeweza kupata makusanyo makubwa zaidi kwa kuboresha utaratibu. Mfano, wangetangaza watu waanze kubid siku 1 kabla, ingewapunguza wale wenye pesa ndogo na bado wakawa wamepewa fursa ya kushiriki.Hii ni timu ya wote wenye pesa na wasio na pesa
Kuna wakati unaongeaga point hadi nashangaa kama ni wewe. Zoezi zima wangeweza kulifanya tofauti kidogo ila labda muda haukuruhusu au pia walitaka lionekane liko wazi kwa kila mtu hadi wanyonge waweze kubid. Wangefanya tukio hotelini wakaalika wenye pesa zao halafu wakawa na jezi zilizosainiwa, wangeweza kupata maokoto ya hata milioni 100.
Jezi iliyosainiwa wangesema minimum kubid milioni 2, hapo wengine wangekuja kusema wamebaguliwa.
[emoji91]Naunga mkono hoja. Hakuna kitu kikubwa cha maana cha kufanya jezi iuzwe kwa mnada
Kwa lipi tuigeNdio hivyo tumeshafanya..igeni tu
Kuichangia Serikali
Shukrani mkuu!HII ndio MICHANGO na mawazo ninayopenda kuyasoma.
Asante sana kaka.
Unamawazi mazuri
Ninaweza kununua yangu ambayo haina jina nikaandika jina la Samia. Nani atanikataza.Binafsi naona hata walionunua hawana akili
Waliouza nao hawana akili
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Utokolo fanyeni hivyo hamjachelewa ili muipiku SimbaNimeona mnada wa Jezi tano zenye majina ya viongozi wa nchi likiwepo jina la Rais wa nchi Samia Suluhu Hassan na jina la Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa.
NALIA NGWENA nilikua naangalia nini kitu muhimu katika ile jezi lakini kitu muhimu nimeona ni jina tu la kiongozi hakuna kitu muhimu kingine.
Kama zile jezi zingesainiwa na viongozi husika hakika ingeleta maana kubwa sana hata mtu/shabiki akichukua anaweka ndani kama kumbukumbu ya jezi iliyokuea na saini halisi ya kiongozi husika.
Simba SC imefeli pakubwa sana kuuza majina ya viongozi bila saini halisi maana majina mtu yoyote anaweza kuchapa na kuvaa.
Nawasilisha hoja.
Jikite kwenye hoja Kama huna hoja kaa kimyaUtokolo fanyeni hivyo hamjachelewa ili muipiku Simba
Hawezi kuelewa unachosema.Ninaweza kununua yangu ambayo haina jina nikaandika jina la Samia. Nani atanikataza.
Nimetoa ushauri kama huutaki kaa kimya pimbi wewe