MNADA wa Magari, AC, vifaa vya ofisi UNICEF

Status
Not open for further replies.

Nameless-

Member
Joined
May 21, 2009
Posts
47
Reaction score
1
Kwa wale wapenzi wa Minada, kuna habari kwamba shirika la UNICEF watauza vitu vyao kwa MNADA, ofisini kwao, (Bibi Titi St/Al Hassan Mwinyi Road) siku ya Jumamosi 23-5-2009, asubuhi.
 
Tupe hint ya vitu watakavyouza na namba yao ya simu kwa ajili ya confirmation ya deal hili???? !!!!!!
 
wakubwa si kila ishu mnatafuniwa. ingia mtandaoni tafuta unicef tanzania kisha utapana anuani zao unaingia hewani.

namshukuru mtoa taarifa
 
Kwa wale wapenzi wa Minada, kuna habari kwamba shirika la UNICEF watauza vitu vyao kwa MNADA, ofisini kwao, (Bibi Titi St/Al Hassan Mwinyi Road) siku ya Jumamosi 23-5-2009, asubuhi.

tarehe 23 mayo weee!! sisi wa TGSD tutakuwa bado hatujaenda dirishani, au ndio mbinu za kutupunguza?
 
Vema Mkuu asante tutajihimu huenda tukaambulia hata kochi
 
Magari, Aircondition, vifaa kadha wa kadha vya ofisini, contact person 0754-280794
 
wakubwa si kila ishu mnatafuniwa. ingia mtandaoni tafuta unicef tanzania kisha utapana anuani zao unaingia hewani.

namshukuru mtoa taarifa

Mkuu Msanii, nilikuwa na maana yangu hapo kwa kutaka contact za UNICEF!!!!!!!! Si kwamba siwezi Google UNICEF, I have the site address!!! Can you guess what I meant then!!!!
 
Kwa wale wapenzi wa Minada, kuna habari kwamba shirika la UNICEF watauza vitu vyao kwa MNADA, ofisini kwao, (Bibi Titi St/Al Hassan Mwinyi Road) siku ya Jumamosi 23-5-2009, asubuhi.

NAMELESS,
Asante kwa taarifa muhimu.
 
Du!
hii sikuipata mapema labda ningeambulia ka-used product. Walai nitakuwa nachungulia JF kila siku 🙂
 
Duuh najuta kutotembelea JF tangu Ijumaa... kwa walioenda mwaweza kutujuza kilichojiri??
 
Kwa wale wapenzi wa Minada, kuna habari kwamba shirika la UNICEF watauza vitu vyao kwa MNADA, ofisini kwao, (Bibi Titi St/Al Hassan Mwinyi Road) siku ya Jumamosi 23-5-2009, asubuhi.
Ahsante kwa kutufahamisha dili hii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom