Hoja yako haina msingi.Unamaanisha kwamba kama mnada huu utafungwa na wizi wa vifaa vya magari utaisha?.Hata hivyo si kweli kwamba pale mnadani vitu ni vya wizi na hata kama vitakuepo sio kwakiwango hicho.
Hakuna mnada wa simu lakini bado tunaendelea kukwapuliwa simu zetu,nafikir hilo sio suluhisho.