Mnaelewa maana ya genocide kweli? Idadi ya wapalestina imekuwa kwa asilimia 2.02% tangu Oktoba 7th mwaka jana

Mnaelewa maana ya genocide kweli? Idadi ya wapalestina imekuwa kwa asilimia 2.02% tangu Oktoba 7th mwaka jana

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Wakati madai ya uwongo ya "mauaji ya kimbari" yanazunguka, idadi ya watu wa Gaza iliongezeka kwa watu 43,000 katika wiki chache tu.

Mara ooh Israel anaua watoto kila siku, blah blah

20241121_123344.jpg
 
Aljezeera ndio media inayokuza hizo propaganda, eti Gaza genocide
Hakika mkuu

Pale endapo mtu wa gaza akifa inakuwa ni bahati mbaya either ni uzembe wa idf au una kuta hamas anapigana nyuma ya wananchi
 
Ni propaganda za tv ya kigaidi aljazeera. Hamna genocide, ni vita dhidi ya ugaidi.
 
Back
Top Bottom