Nina muda usiozidi miezi miwili hapa JF nimeanza kunongewa na kwa vile sipendi vya bure nipo mbioni kwenda kulipa premium. LAKINI? kuna watu hapa JF hasa wewe na wewe eeeh na fulani nilitaka kusahau.Muda mwingi mko hewani, kila nikichungulia nawakuta hewani,hata sielewi,kazi mnafanya saa ngapi,kunywa saa ngapi,kusali saa ngapi,kula saa ngapi na kukumbatia saa ngapi? yaani hata usiku mpo hewani. NIPENI siri ya ratiba zenu maana mmmh kuendelea nataka na kuacha kulogin JF pia nataka.Naona sina muda kabisakabisaaaa.
naweza kusema ndio.Sasa si ndio nataka kutumia muda wangu vizuri?Ndipo ushangae sasa! na wewe wakati ukiwacheki wenzio kuona kama hawajalala unakuwa ukifanya nini?......si unakuwa macho, unakuwa hauendi kusali wala kula wala kulala vinginevyo usingewaona si ndio?
mbona inajieleza B!!!
au mpaka ukashtue ndo uone vizuri??
sisi wengine kazi yetu ni ku-log in kushinda humu 24/7
Ngoja nimcheck yule Bala kwanza!!
..nitarudi. I am starting to like them babies.....naona wanaongelewa sana
Mara shishi.......
kama huyo ni mtoto si dori basi kaibiwa mtu hapa: wazazi weusi mtoto mwarabu au mhindi,samahani kama namkwaza mwenye avatarmbona inajieleza B!!!
au mpaka ukashtue ndo uone vizuri??
ooooh YES naaaanza kuelewa. I AM SO SORY.Ngoja nimcheck yule Bala kwanza!!
..nitarudi. I am starting to like them babies.....naona wanaongelewa sana
Mara shishi.......
je wewe unapochungulia na kukuta watu wapo hewa huwa unafanya kazi saa ngapi???.OONDOA KWANZA BORITI KATIKA JICHO LAKO NDIPO UTOE KIBANZI KATIKA JICHO LA NDUGU YAKONina muda usiozidi miezi miwili hapa JF nimeanza kunongewa na kwa vile sipendi vya bure nipo mbioni kwenda kulipa premium. LAKINI? kuna watu hapa JF hasa wewe na wewe eeeh na fulani nilitaka kusahau.Muda mwingi mko hewani, kila nikichungulia nawakuta hewani,hata sielewi,kazi mnafanya saa ngapi,kunywa saa ngapi,kusali saa ngapi,kula saa ngapi na kukumbatia saa ngapi? yaani hata usiku mpo hewani. NIPENI siri ya ratiba zenu maana mmmh kuendelea nataka na kuacha kulogin JF pia nataka.Naona sina muda kabisakabisaaaa.