Mnafiki wa kwanza huyu hapa bongo muvi

Mnafiki wa kwanza huyu hapa bongo muvi

daniel kalasha

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
548
Reaction score
72
Wadau siku jana nilikua naangalia kipindi cha take one ambacho kinarushwa moja kwa moja na clouds tv ambacho kilikua live, maudhui yalikua ni juu ya msiba wa marehemu Kuambiana.

Kilichonisikitisha JB alikuwa mgeni rasmi katika kipindi hicho wakati wa mahojiano alionekana akiwa na uzuni sana juu ya msiba uliotokea lakini walipo onesha clip ya dada aliyekuwa akihojiwa ambapo alikuwa akilia na baadae clip ya Steve Nyerere, kilicho nishangaza kamera zilinasa live akicheka.

Kwa kweli kitendo hicho kimenikera sana kuonesha jamaa huyu alivo mnafiki pamoja na huyo mwenzake na uki link na clip waliyoonesha JB mwenyewe akilia nashindwa hata kumuelewa zaidi ya kujua huyu jamaa ni zaidi ya mnafiki.
 
hujaeleweka vizuri aliyecheka ni nani kwani hata angelia machozi ya damu huyu marehemu angefufuka au wewe mtoa madaa ndo mnafiki kujadili vitu ambacho havina faida kwa taifa
 
Hivi huna jembe mkuu, mtu kashazikwa bado tuu hujaridhika dah??
 
mmh kiukweli wengi husema jb ni mnafiki

ILA UNATAKA ALIE MPAKA AGAREGARE??

ALAFU ALIE MPAKA LINI SASA YULE NI KAMA JOB MATE TU MAREHEM SI MTU WAKE WA KARIBU

KATIKA MISIBA KUNA MATANI ILI KUPUNGUZA MACHUNGU LAKINI PIA KUNA MUDA UKIKAA UNAKUMBUKA THEN UNALIA

ulitaka alie mpaka lini wangu
 
kucheka hakumaanishi kua hukupata uchungu wa kuondokewa na muhusika ni katika kujiliwaza tu kwa mda mfupi,hata hivyo wanaume hua hawalii hovyo hovyo.
mwisho uwe unapitia ulichokiandika kabla ya kutuma,kwa uandishi huu ni tabu kidogo.
 
Si kila anaehudhuria msiba analia, na huu si msiba wa kwanza kuona watu wakicheka.
 
Mi pia niliangalia lakini jb alikuwa anaongea kitu na mtitu ndo akacheka.hata isingekuwa hivyo,una uhakika gani alikuwa anamcheka huyo dada na hivi mtu akifariki watu hawaruhusiwi kucheka hata kwa mambo mengine tu au kwa kukumbuka vituko vya marehemu???

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mimi pia niliona na nilicheka sana nilipomwona Steve akiigiza kulia...nilicheka hata kabla ya kuoneshwa JB na Mtitu wao pia wakicheka....na host nae alicheka kwa kifupi kama unamfahamu Steve ungecheka tuu kwa vile alifanya kwa namna ya uigizaji zaidi na hata sasa nikikumbuka natabasam within.
 
Wadau siku jana nilikua naangalia kipindi cha take one ambacho kinarushwa moja kwa moja na clouds tv ambacho kilikua live, maudhui yalikua ni juu ya msiba wa marehemu Kuambiana.

Kilichonisikitisha JB alikuwa mgeni rasmi katika kipindi hicho wakati wa mahojiano alionekana akiwa na uzuni sana juu ya msiba uliotokea lakini walipo onesha clip ya dada aliyekuwa akihojiwa ambapo alikuwa akilia na baadae clip ya Steve Nyerere, kilicho nishangaza kamera zilinasa live akicheka.

Kwa kweli kitendo hicho kimenikera sana kuonesha jamaa huyu alivo mnafiki pamoja na huyo mwenzake na uki link na clip waliyoonesha JB mwenyewe akilia nashindwa hata kumuelewa zaidi ya kujua huyu jamaa ni zaidi ya mnafiki.

Mkuu ina maana mtu akiwa kwenye msiba haruhusiwi kucheka? Huo utakuwa msiba au adhabu, yaani uwe na huzuni muda wote duh! Halafu kumbuka wanaume ni wastahimilivu kuliko wanawake hivyo sio kitu cha ajabu. Vinginevyo wote mkiwa na huzuni muda wote nani atapanga na kutekeleza mipango ya mazishi?
 
acha kupotosha kaka,kipande ambacho jB alicheka ni pale steve nyerere alipokuwa anaongea kama anamuiga kiongozi.na mtitu akacheka pia yani uzi wako umenikera sana,kwa kushuhudia uongo..
 
Wadau siku jana nilikua naangalia kipindi cha take one ambacho kinarushwa moja kwa moja na clouds tv ambacho kilikua live, maudhui yalikua ni juu ya msiba wa marehemu Kuambiana.

Kilichonisikitisha JB alikuwa mgeni rasmi katika kipindi hicho wakati wa mahojiano alionekana akiwa na uzuni sana juu ya msiba uliotokea lakini walipo onesha clip ya dada aliyekuwa akihojiwa ambapo alikuwa akilia na baadae clip ya Steve Nyerere, kilicho nishangaza kamera zilinasa live akicheka.

Kwa kweli kitendo hicho kimenikera sana kuonesha jamaa huyu alivo mnafiki pamoja na huyo mwenzake na uki link na clip waliyoonesha JB mwenyewe akilia nashindwa hata kumuelewa zaidi ya kujua huyu jamaa ni zaidi ya mnafiki.

Ulitaka aliye mda wote? Au aliyekufa atafufuka ?kuna. Wakati wa kulia na wakati wa kucheka tambua hilo
 
mmmh! Kwenye misiba watu hufarijiwa na hata kucheka, jameni

DEMBA labda tuseme aliye cheka alifirahi jinsi watu walivyo kwenda kufariji familia ya kuambiana.
Aisee jf kuna vituko eti kamera ilimnasa live akicheka daaa

daaaa imenibidi na mimi ni cheke.
 
Last edited by a moderator:
Kaka hoja yako haina mashiko. JB alicheka kama alivyocheka mtitu. Uchungu haumo ktk kulia tu! Cku nyingin leta hoja za kujenga.
 
Wadau nimewasikia kicheko cha kinafiki ni cha kinafiki tu, inategemea upo katika mazingira yapi na wapi na ukifanya nini ok swali fupi kama msiba ni kucheka kwa nini jb wakati anatoa speech yake asinge cheka na tukadhibitisha hapa kua msiba ni kucheka some tyms
 
Back
Top Bottom