daniel kalasha
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 548
- 72
Wadau siku jana nilikua naangalia kipindi cha take one ambacho kinarushwa moja kwa moja na clouds tv ambacho kilikua live, maudhui yalikua ni juu ya msiba wa marehemu Kuambiana.
Kilichonisikitisha JB alikuwa mgeni rasmi katika kipindi hicho wakati wa mahojiano alionekana akiwa na uzuni sana juu ya msiba uliotokea lakini walipo onesha clip ya dada aliyekuwa akihojiwa ambapo alikuwa akilia na baadae clip ya Steve Nyerere, kilicho nishangaza kamera zilinasa live akicheka.
Kwa kweli kitendo hicho kimenikera sana kuonesha jamaa huyu alivo mnafiki pamoja na huyo mwenzake na uki link na clip waliyoonesha JB mwenyewe akilia nashindwa hata kumuelewa zaidi ya kujua huyu jamaa ni zaidi ya mnafiki.