Mnafiki wa kwanza huyu hapa bongo muvi

hata mm sijui kwa nn hujaelewa ebu kaangalie marudio then uje hapa labda unaweza kuelewa
 
Mjomba kulia sana sometime unafiki tuu mtu anaweza kuwa touched inside but akacontrol emotion....kama unakumbuka mh rais alipokuwa south africa kwenye msiba wa baba mandela katika speech yake kulikuwa na some jokes watu walikuwa wanacheka huku wanalia so jombi relax take easy...take it like a man
 
anacheka kwa uchungu... amejiona analia akajicheka
 
Hivi mtu ukilia ndio inakua mwisho wa kucheka?
 
Maybe humpend tu jb kaka... sometimes watu inakua ngumu kuamin kama mtu kafa anajikuta Anacheka ila anapotoa hotuba ya mwisho ndo anaposhtuka z t true... ndo maana alilia alipokua anamuongelea adam cz akakumbuka maisha walioshare sasa kucheka sio unafki km hujawah cheka pole..... kulia sio kua na uchungu... maybe unalako na jb
 
Wabongo hamuishiwi maneno, mtu mzima hapo angepiga yowe mngesema bàada ya kuona kamera imeelekea kwanza, akaanza kuangua kilio! Hamuishiwi!
 
acheke,asicheke,alie au asilie wote njia yetu ni moja...majungu na fitina zinawamaliza hawa bongo movie..bongo lalaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…