Mnahitaji kujua MATOKEO CSEE 2011?

Mnahitaji kujua MATOKEO CSEE 2011?

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
2,696
Reaction score
740
Subirini kidogo tu. Yanaweza kutoka Jumatatu ya tarehe 30 Januari 2012. Muda mfupi uliopita niliongea na mtu wa IT huko NECTA ambaye aliniambia yangetoka leo lakini kuna tumarekebisho kidogo.
 
What is breaking news?

very Crap indeed

ungefanya jambo la maana kama ungeleta habari hya kumpinga huyu bwana
si kuandika tu kwa kuwa uhuru wa kuandika unao

Subirini kidogo tu. Yanaweza kutoka Jumatatu ya tarehe 30 Januari 2012. Muda mfupi uliopita niliongea na mtu wa IT huko NECTA ambaye aliniambia yangetoka leo lakini kuna tumarekebisho kidogo.
ngoja tuone hio j3 watasemaje
 
what is current news? is there any news here?

"Muda mfupi uliopita niliongea na mtu wa IT huko NECTA ambaye aliniambia yangetoka leo lakini kuna tumarekebisho kidogo".

Ila wewe KAKA hunielewi. Lastly: I AM SORRY.
 
I can guess, you meant rubbish? Kama ndivyo, I can guess your results. Div III pt 24 au 25.

Natumia real name...
nenda website tafuta matokeo yangu form four...hata ukizidisha mara tatu bado ni point 21 ambayo bado ni div 2!!!!
 
inawezekana 80% ikawa kweli kutokana na taarifa ambazo tunazo.
Subirini kidogo tu. Yanaweza kutoka Jumatatu ya tarehe 30 Januari 2012. Muda mfupi uliopita niliongea na mtu wa IT huko NECTA ambaye aliniambia yangetoka leo lakini kuna tumarekebisho kidogo.
 
Mara hii necta wameamua ku2cheleweshea matokeo ye2,mpaka muda huu hamna k2.
Me nahic bora 2 wayatoe 2 kama mabaya potelea bondeni
 
Back
Top Bottom