Mnaikumbuka hii ya Zinadine Zidane -Zizzu

Dragoon

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
7,012
Reaction score
8,139
Hii ilikuwa kombe la dunia 2006
Hapa ni namna wajerumani walivyoona


Hapa ni namna Wafaransa walivyoona


Hapa ni namna waitaliono walivyoona


Hapa ni namna wamarekani walivyoona


Na hivi ndivyo vyombo vya habari vilivyoripoti
 
Rekebisha neno hapo mstari wa kwanza lisomeke "dunia" maana umeandika "dinia"
 
Najazia Nyama!!!

Huo Mwaka 2006 tulikuwa hatuna Shabiki wa The blues Tanzania!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…