Mnaita wawekezaji warudi ili muwakamate? Tulidhani Rais anataka kufufua uchumi

Ishu zilizo mahakamani humalizwa mahakamani. Hata kama mama ana nia ya kuwakatisha tena lazima mchakato wa mahakama ipite awe exonerated mahakamani ndipo apewe nafasi ya kurestart. Kwa sababu ya Nia njema ya mama hayo mashtaka yatamalizwa tu kiutu uzima na ataingia uraiani kwa sababu kila mtu anajua yalikuwa ni mashtaka ya kubambikiwa na chuki na uonevu. Ninaamini mama bado yuko kwenye rait trak
 
ana kesi ya kujibu...yule sio wa kmtetea hata kidogo.........usiingize u-yanga wako kwenye ishu za kuhujumu uchumi.......
 
Kwa mambo aliyofanya manji kwa nchi yetu alitakiwa awe ameshanyongwa kuwa hai ni salama kwake katuibia sana kenge huyu
 
Alishasema kuhusu macho yake,so don't underestimate her...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…