Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Unaandika nyuzi halaf inakosa wachangiaji mnajisikiaje na mtu mwingine akiandika kidogo watu wamejaa kupost na uzi unatembea haswa ukitazama watu zaidi ya laki au zaidi washaufungua huo uzi mnajisikiaje (ndio maana ikafunguliwa makapuku forum kwaajili ya haya mambo ).Unakuta member ni wa mda mrefu maarufu lakin akifungua uzi chalii inakuwaje mnakuwa mshawachoka au inakuwaje,kwangu hata msipochangia wala sitojali maana sio maarufu kama kina fidofido humu .