Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,271
- 2,903
Hawa wawili waligundua. Kuwa pamoja na kuwa Dini zao ni tofauti wanategemeana. Mmoja ana macho ya kuona kule waendako. Mwingine hajui ila aendako ila ana miguu ya kuweza mpeleka akioneshwa.
So huyu Muislamu udhaifu wake ni macho. Haoni. Ila anaweza kutembea. Mkristo anaona mbele ila hawezi tembea. So Muhamad kambeba Samir anayeifahamu Njia. Kwa hii picha nimesikitika sana. Huku tz ambako Muhamad hakuwahi fika...Jesus utotoni aliwahi fika Misri hapo.
Weusi mnakazana kuchukiana na kutukanana sababu ya Dini bila kujua maisha yanategemeana sana.