Mnakomaa kwa kelele kibao kwa kiofisi kama hiki, jengeni jengo la maana kama wenzenu ACT Wazalendo

Mnakomaa kwa kelele kibao kwa kiofisi kama hiki, jengeni jengo la maana kama wenzenu ACT Wazalendo

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Kelele kibao kwa kiofisi kama hiki?

20230227_161258.jpg
 
Hii ni nyumba ya mtu hakuna mtu au taasisi inaweza kujenga ofisi na chumba cha kulala na eneo la mososi, vyumba vya kulala vya nini ofisini.

USSR
 
Wakishajenga jengo zuri ndipo itakuaje? Au wata gain kipi hasa? Kikubwa wapambane kutanua wigo wa ukubwa wa chama na popularity kuelekea uchaguz mkuu wapate viti vya kutosha bungeni plus wajenge hoja za msingi za kushawishi wananchi! Hayo ndio ya msingi!
 
Kelele kibao kwa kiofisi kama hiki?

View attachment 2531736
Tayari dozi imeshakuingia, na maji umeanza kuyaita mma.
Majengo mnayojivunia mlikuwa nayo wakati waasisi wakipata madaraka kutoka kwa mkoloni mzungu?

Mmegeuka kuwa wakoloni weusi na kujificha nyuma ya kivuli cha ufisadi na wizi wa kutisha, na kujenga majengo ya kifahari na kisha kuanza kukebehi Watanzania maskini, siyo!?

Sera zenu ziwakandamize watu, na kuwafanya watopee kwenye umaskini wa kutisha, na hatimaye wakitaka kujikomboa mnaanza kuwakashifu juu ya udhaifu wao, siyo!?

Cha ajabu kibaraka na chokoraa kama wewe utakuta pia ni maskini wa kutupwa, lakini upo kwenye mning'inio utokanao na na ulevi wa mahaba ya kijinga kqa wale wasiofanana na wewe, bali wamekwisha athiri uwezo wako wa kufikiri na kuweza kuhoji kuhusu ustawi wa kesho yako na ya wanao!
 
Back
Top Bottom