chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Hii nchi rahaa sana ukiwa umesoma miaka ya nyuma kidogo kipindi cha Jakaya sikosei, shirika la reli lilipata changamoto ya uendeshaji na kufikia kuporomoka mpaka kufikia kutafutwa muwekezaji.
Na huyu alikuwa muhindi wa india ila alivopewa kuendesha shirika na yeye alivokuwa mjanja alisafirisha vichwa vya treni kupeleka kwao au ilikuwa tetesi.
Kisa kingine muwekezaji alivopewa kuendesha shirika ili bidi serikali impatie na mtaji [emoji23][emoji1787]. awezeshwe
Hii kesi ilifikiaga wapi?