mabwana
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 307
- 316
Nakumbuka miaka ya themanini hakuna sabuni, hakuna mafuta ya taa, hakuna petrol kwa mgao, hakuna dawa ya meno , hakuna beer bar? Ukikamatwa na usd kesi kubwa sana , au sabuni ya kenya au dawa ya meno au sigara paket 3
Kipindi kimepata sasa hivi kila kitu kipo ni pesa yako tulikuwa nyuma sana kimaendeleo naomba tuelendee hivyo vijana msikute yale tuliyopata siasa ni sumu kali kama kidini
Kipindi kimepata sasa hivi kila kitu kipo ni pesa yako tulikuwa nyuma sana kimaendeleo naomba tuelendee hivyo vijana msikute yale tuliyopata siasa ni sumu kali kama kidini