Lakini kuna watu Mengine wanasema maisha kipindi hicho yalikua mazuri kuliko sasa!Nakumbuka miaka ya themanini hakuna sabuni, hakuna mafuta ya taa, hakuna petrol kwa mgao, hakuna dawa ya meno , hakuna beer bar? Ukikamatwa na usd kesi kubwa sana , au sabuni ya kenya au dawa ya meno au sigara paket 3
Kipindi kimepata sasa hivi kila kitu kipo ni pesa yako tulikuwa nyuma sana kimaendeleo naomba tuelendee hivyo vijana msikute yale tuliyopata siasa ni sumu kali kama kidini