Lilikuwa dua la kuku, laana ya walaaniwa (kama chama), na kauli zisizoitakia mema nchi yetu kwa mtu kupinga waleta maendeleo bila kuwa na sera za maana. Alikuwa na lipi la maana kumuombea mwanajeshi huyu njaa? Wapo ndugu zake kadhaa waliowahi kushinikiza kwa mbwembwe kwamba kijana afukuzwe bungeni, eti kwa maneno yao ya uzushi, alisema uongo. Laana iliwarudia na sasa tunawatafuta bungeni kwa tochi, hatuwaoni. (Mfano Mudhihir Mudhihir). Enzi za wadanganyika zimeisha, wajifunze kujenga hoja sio longolongo