Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
jamiiWewe ukiwa kama nani,mtoto Au jamii?
Au mzazi
aliongea uongoWanakopa kwa ajili ya hao watoto ,naona mmoja hapa alinaswa akasema alikopa ili awatafutie hawa kiwanja watoto wake .
Inasikitisha sana
Changamoto zipo hizo mzee,Hujui kakutana na Nini.mzazi anaenda kukopa huko kwenye vicoba na taasisi uchwara bila hata ya kuwashirikisha watoto, matokeo yake anashindwa kulipa ,mzigo wote wa deni watoto ndio wanaambiwa walipe. hii mnaichukuliaje wakuu. kwangu mimi naona ni ufara na kutojitambua kwa mzazi husika.
Ikijirudia rudia acha ujinga,.mwache na madeni yake. Maana wanaomkopesha wanaona hawezi kulipa. Wasikusumbue. Wakati mwingine shetani akitaka fedha zako anafungua matobo mengi mengi Ili azichukue.mzazi anaenda kukopa huko kwenye vicoba na taasisi uchwara bila hata ya kuwashirikisha watoto, matokeo yake anashindwa kulipa ,mzigo wote wa deni watoto ndio wanaambiwa walipe. hii mnaichukuliaje wakuu. kwangu mimi naona ni ufara na kutojitambua kwa mzazi husika.
Sio kukataa wengine WANASHINDWA Kusaidia kwa sababu ya hali za kiuchumiChangamoto zipo hizo mzee,Hujui kakutana na Nini.
Hao unaowasema hajawashirikisha ukute amewaambia Mara kadhaa wamsaidie wakiwemo watoto lakini walikataa ukute.
Mwache akope tuuSio kukataa wengine WANASHINDWA Kusaidia kwa sababu ya hali za kiuchumi