Mnalikumbuka jiko la stove?

Hahahaha mtungi kg15 ni 54000 mkuu vyote vinatumika maana gas ina urahis na mafuta ukiwa na vyote viwli mwaka unaisha bila kuwaza maswala ya nishati hapo ongeza na kagunia ka mkaa
Mkuu vyote hivyo nimevitumia.
Karibia vinashabihiana. Hiyo kg15 ya gas kwa mapishi yote ni mwezi m1 tu, kwisha.
Hilo debe ka kerosine nalo pia ni mwezi ila lazima lisapotiwe na mkaa. Maana nafuta ya taa hayana uwezo wa kuivisha maharage haraka. Ila ga gas ni mult purpose, harage likiinjikwa linaoza baada ya nusu saa.
 
Kweli kabisa ila gas ki gheto gheto huwa naenda nusu mwaka maana upikaji wangu kama aslay mkuu#mkangafuu#
 
Jiko la kiswahili cha sasa ni mtu! sijuwi linachochewa vipi.
 
Ilo nliliacha home pamoj n taa ya karabai..ile unanunua kijitambaa cheupe kama kinyavu..ukitak washa unapambu sehemu ya mafuta linawaka balaa ilo zaidi ya taa ya mafuta
 
Basi havishabihiani kwani mafuta mpaka yasaidiwe na mkaa

.
 
Ni kati ya majiko ambayo nilikuwa nayachukia kwa sababu ya harufu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…