Mnalikumbuka jiko la stove?

Samahani ninashida na jiko la stove la mjerumani Kama unalo nicheki kwa 0784431041
 
Ilikuwa ukilimiliki mademu wasomi hadi utawakataa. Alikuwa nalo mjomba na alionekana mtu wa mamtoni. Siku moja jamaa yangu akaniambia tuliibe kwani liko full dhahabu!!!! Utoto+ushamba nuksi tupu.
Sio dhahabu ila ni pure shaba...kwa sasa hv ukiwa nalo ni dili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…