Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kweli Uturuki hawaongopi, Demba Ba, straika wa zamani wa Chelsea na Newcastle kwasasa ameotesha nywele na anaonekana kijana.
Mnamkumbuka straika huyu?
Mnamkumbuka straika huyu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifanikiwa kupona mguu na kuendelea kucheza?Mwamba alivunjika vibaya sana,,,, ! Sio mbaya kwa nyakati zake alijitahidi kiasi chake kuzifumania nyavu
Hapana Ile ilikuwa injury mbaya sanaAlifanikiwa kupona mguu na kuendelea kucheza?