Teko Modise JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 2,331 Reaction score 7,733 Jan 21, 2025 #1 Kweli Uturuki hawaongopi, Demba Ba, straika wa zamani wa Chelsea na Newcastle kwasasa ameotesha nywele na anaonekana kijana. Mnamkumbuka straika huyu?
Kweli Uturuki hawaongopi, Demba Ba, straika wa zamani wa Chelsea na Newcastle kwasasa ameotesha nywele na anaonekana kijana. Mnamkumbuka straika huyu?
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 12,823 Reaction score 21,210 Jan 21, 2025 #2 Huyu alituumiza Sana Liverpool ya 2013 ya coach Brendan Rogers pale Stevie G alipoteleza tukakosa ubingwa siku ya mwisho.
Huyu alituumiza Sana Liverpool ya 2013 ya coach Brendan Rogers pale Stevie G alipoteleza tukakosa ubingwa siku ya mwisho.
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Jan 21, 2025 #3 Bonge la striker Stivin Gerald hatamsahau
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 12,823 Reaction score 21,210 Jan 21, 2025 #4 View: https://m.youtube.com/watch?v=-YSvHFNUUU8
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 3,607 Reaction score 9,430 Jan 21, 2025 #5 Mwamba alivunjika vibaya sana,,,, ! Sio mbaya kwa nyakati zake alijitahidi kiasi chake kuzifumania nyavu
Mwamba alivunjika vibaya sana,,,, ! Sio mbaya kwa nyakati zake alijitahidi kiasi chake kuzifumania nyavu
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,483 Reaction score 6,257 Jan 21, 2025 #6 kitalembwa said: Mwamba alivunjika vibaya sana,,,, ! Sio mbaya kwa nyakati zake alijitahidi kiasi chake kuzifumania nyavu Click to expand... Alifanikiwa kupona mguu na kuendelea kucheza?
kitalembwa said: Mwamba alivunjika vibaya sana,,,, ! Sio mbaya kwa nyakati zake alijitahidi kiasi chake kuzifumania nyavu Click to expand... Alifanikiwa kupona mguu na kuendelea kucheza?
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Jan 21, 2025 #7 Mlolongo said: Alifanikiwa kupona mguu na kuendelea kucheza? Click to expand... Hapana Ile ilikuwa injury mbaya sana Alipata akiwa ligi ya uko China
Mlolongo said: Alifanikiwa kupona mguu na kuendelea kucheza? Click to expand... Hapana Ile ilikuwa injury mbaya sana Alipata akiwa ligi ya uko China