japo nyt kali hivyo hivyo tu. mnamkumbuka? mnakumbuka wakati jamaa analeta ishu za diamond watu wakawa wanamsema sana humu? jamaa alisimama kidete sana kumpa dai promo humu jf na mwisho wa siku leo hana tena kazi ngumu. kila mmoja anampa dai promo humu. popote ulipo desert hongera. mlijipanga kweli

Jamaa anashindaga zake Instagram akipokea Likes za kutosha,alipigwa sana vita humu ndani,alianza kumchukia mtu mmoja wengine wakafata kama bendera inavofata upepo.
Matokeo yake wale walokuwa wanamponda kwa sababu ya Sifa zake sasa hivi humu ndani kuna watu wanasifa kumzidi HOD na hawapigwi vita wala majungu!Na chuki nyingine ilikuwa ni kwasababu ya kumsifia sana Platinumz mwisho wa siku humu ndani Umeanzishwa mpaka uzi wa diamond na wengine lakini watu wako kimya.
Aaargh!humu ndani sometimes kuna watu wanajifanya wao ndio wao,kila kitu waanzisha wao
duh we mtu umenifanya nilogin kwa mda
hahahaaa kwani habari hizi umezipataje kwamba unazungumziwa humu? au... multiple nanii?
Yaani nilijua kadanja(Kafa) daah next time uwe unaweka kichwa cha mada vzr aaah.