Wako Mtiifu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2018
- 261
- 632
Ni kweli kabisa, lakini kuna siku moja nilikuwa "Club" sasa kuna jamaa alikuwa anakata mauno sana kiasi wadada wote wakawa wanamtizama yeye tu huku wakionekana wazi wazi wanafurahia sana jinsi anavyokata mauno. Kwa kuwatizama tu usoni, walikuwa kama wamevutiwa sana na jamaa.Nyie ndo mnadata mwanamke akikata mauno
Mkuu hayo maelezo umeyatoa kuchangamsha gege au vipi maana huyo jamaa hayupo bongo ila ana ndugu yake wa kiume wamefanana hivyo hivyo naye ni rasta labda kama unaemzungumzia huyo.Uyu jamaa yupo feri kwa sasa ni mvuvi mzuri maarufu sana pale feri.kwa sasa yupo kwenye mchakato wa kuyavuta mabilioni yake ya big brother kutoka uswizi
Ohooooo!!!Kuna mauno ya kikeni na kiumeni... Haya ni ya jinsia pinzani [emoji15] [emoji15]
Zaidi ya nusu na roboHa ha ha ha ha, kwahiyo unasema hapa jamaa kaharibu?
alihamia moshi kipindi flani maeneo hayo pia nilishamuonaga Mara kadhaa.mzungu wake alikua anapapenda moshi na arushakuna kipindi nilikuwa nakutanana nae moshi maeneo ya kindoroko pale kwenye PIZZA alikuwa anakuja namzungu wake baada ya hapo walivyo zengua zengua akawa haji mara kwa mara
Duh!!!mtu akivaa suti huwa anatanguliza shart ndio linafata koti la suti sasa lilowe shart hadi koti huyo nafikiri atakuwa na bomba kwenye kwapa.
Siyo watanzania tu mashuhuri. Dunia nzima watu wengi mashuhuri wakishapata pesa tu wanaingizwa kwenye utumiaji wa madawa ya kulevya. Haya nia majanga makubwa duniani kote!Watanzania mashuhuri wakipata hela ndefu kidogo lazima wale unga na hapo ndio wanapotea kwenye gemu kabisa
mkweli pale kwenye PIZZA sio, ilikuwa nikienda jioni mida ya saa 9 hapo lazima aje na gari yake flani hivi nyekundualihamia moshi kipindi flani maeneo hayo pia nilishamuonaga Mara kadhaa.mzungu wake alikua anapapenda moshi na arusha
Kama Mwisho Mwampamba, hivi huyu naye alipoteleaga wapi? Nasikia pombe zimemharibu kabisa jamaa.Siyo watanzania tu mashuhuri. Dunia nzima watu wengi mashuhuri wakishapata pesa tu wanaingizwa kwenye utumiaji wa madawa ya kulevya. Haya nia majanga makubwa duniani kote!
sijui ni ugonjwa ule....inapoteza u gentleman kabisaaWengine utakuta kavaa suti lakini kwapa zimelowa.
Ukiwa Timamu, Lazima Upende Kuishi Hayo Maeneoalihamia moshi kipindi flani maeneo hayo pia nilishamuonaga Mara kadhaa.mzungu wake alikua anapapenda moshi na arusha
Kuna kipindi alikua anapiga Kazi kama kinyozi kwenye salon flan hivi pale shunt moshi. Sijui pesa alizihonga zote.. Mwenzie mwisho mwampamba ndio kaamua kuwa mlevi maisha yake yote