Mnamkumbuka Shaba Ranks?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Natamani angerudi katika gemu, kuna mtu anajua huyu jamaa kafia wapi?
 
Huyu jamaa alizungumza kuwapinga vikali GAYS katika talkshow,campaign iliyofuata dhidi yake ikamuondoa katika game-kuona mambo yanaenda vibaya na against principle zake akaomba msamaha but he was a shade to late,the rest is history-he never recovered
 
huyu jamaa alizungumza kuwapinga vikali GAYS katika talkshow,campaign iliyofuata dhidi yake ikamuondoa katika game-kuona mambo yanaenda vibaya na against principle zake akaomba msamaha but he was a shade to late,the rest is history-he never recovered

Dah! so sad. yaani mashoga wana nguvu kiasi hicho huko state? looks like imposible
 
huyu jamaa alizungumza kuwapinga vikali GAYS katika talkshow,campaign iliyofuata dhidi yake ikamuondoa katika game-kuona mambo yanaenda vibaya na against principle zake akaomba msamaha but he was a shade to late,the rest is history-he never recovered

- Right on the money, Shaba aliharibu sana na bashing Gays, na hasa pale alipotoa album moja nasty sana kuhusu Gays, tena ulikuwa ndio wakati alikuwa chat kiasi kila Rapper wa US alikuwa anajitahidi kutoa naye album, tayari alishaandika wimbo na Queen Latifa, Sister Soldier, na kina Monie in the middle, na all this ilikuwa affordable kwa kusaidiiwa na The Holywood's bigs, ambao aliwaudhi sana na hiyo album against Gays, ukawa ndio mwanzo na mwisho,

- Last Sunday, nilikuwa kwenye cookout moja ya Jamaicans entertainers flani hivi, nikawauliza Ranks yupo wapi, maana walikuwa wanapiga sana vitu vyake pale, wakaniambia yupo kwao huko ana hela nyingi sana na bado anapiga local, lakini nchi nyingi za Europe zikiongozwa na UK, zilimpiga marukufu kwenda huko na huwa hawapendi hata kusikia tena muziki wake, na US hawawezi hata kumpa Viza, kwa hiyo yuko grounded kwao, wakaniambia kwamba huko kwao mambo ya mashoga ni very serious wananchi hawayataki na it makes a hero kwa mtu kama Ranks kuwatwanga kwenye muzik kwa hiyo labda jamaa alichagua local over Global.

Respect.

FMEs!
 
Battyboys au gays wanapingwa sana jamaica,ma artist wengi tu wa jamaica wanaeneza chuki kubwa dhidi ya watu wa jinsia hii,bahati mbaya huyu shabba ranks makampuni ya muziki ya kamboycott baada ya gays kuanzisha campaign kubwa dhidi yake ili iwe mfano
 
Pia kilichomponza ni kuwa zama zile kulikuwa hakujawa na uwazi kama sasa, kwani akina EMINEM, Elephant man, Buju Banton etc nao pia weshasema vivyo hivyo lakini hawakuchukuliwa hatua kali kama Bwana Ranks ambaye ndo original Mr Loverman ( na siyo Shaggy kama ajikwezavyo).

Kwa sasa bado yupo kwenye muziki, ila ile kalikiti alishaindoa! Kwa wale bado wenye kiu na Shabba; Shabba Ranks Homepage
 
Shaba mwanaume wa shoka. Kwa ujumla hii industry ya burudani imetawaliwa na udhaifu sana. Mtu akishakuwa maarufu huko basi atatumia unga, aidha awe shoga au msagaji, & vice versa, na maisha flani immoral. Big up kwa wale wenye msimamo
 
Jambo lingine lililochangia Shabba kushuka ni ile kesi yake ya kukutwa na dawa za kulevya katika luggage yake. Ile kesi ilimsumbua sana, ingawaje mwishoni Judge alimkuta hana hatia, ilionekana ule unga ulikuwa umewekwa makusudi. Nakumbuka jamaa baada ya ile verdict alipohojiwa na waandishi wa habari alisema "wakati judge akisoma hukumu nilikuwa naona malaika wanapanda ngazi na kushuka wakitoka na kuelekea mbinguni".

Kwa hivyo lebo iliyomdhamini nafikiri Columbia kama sikosei waliamua kusitisha mkataba na kumtaka Shabba amalizie kazi zote zilizokuwa kwenye pipeline ndipo alipotoa ile album yake ya A Mi Shabba......! Duh Mziwanda umenikumbusha mbali sana..
 

Hii imekaaje...?


Habari zaidi CaribWorldNews.com - Global Caribbean Daily Newswire
 
Hii imekaaje...?

wakaniambia
yupo kwao huko ana hela nyingi sana na bado anapiga local, lakini nchi nyingi za Europe zikiongozwa na UK, zilimpiga marukufu kwenda huko na huwa hawapendi hata kusikia tena muziki wake, na US hawawezi hata kumpa Viza, kwa hiyo yuko grounded kwao,

- Au hiki kiswahili hakikukaa sawa? Bwa! ha! ha sio rahisi kubadilika spirit, ingawa ni rahisi sana kubadili mengine!

FMEs!
 
battyboys au gays wanapingwa sana jamaica,ma artist wengi tu wa jamaica wanaeneza chuki kubwa dhidi ya watu wa jinsia hii,bahati mbaya huyu shabba ranks makampuni ya muziki ya kamboycott baada ya gays kuanzisha campaign kubwa dhidi yake ili iwe mfano

Big Ups... na bado rekodi zanunuliwa

Shabba kaimba vijimbo vichache na Cocoa Tea
 

Mimi nimeuliza hapo kwenye nyekundu kuwa US haiwezi kumpa visa, isitoshe kwenye Wikipedia(ingawa sio credible source) page ya Shabba Ranks wanasema anakaa New York
 
Remarks za Shabba Ranks
 
Mimi nimeuliza hapo kwenye nyekundu kuwa US haiwezi kumpa visa, isitoshe kwenye Wikipedia(ingawa sio credible source) page ya Shabba Ranks wanasema anakaa New York

Huyu hapa a couple years ago kwenye Frank & Wanda @V-103

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=9nx7hYz1EWE]YouTube - Frank Ski & Wanda interview Shabba Ranks on V103[/ame]
 
SHABAH SHABAH! MAXI PRIEST N' SHABAH!! WE AR DE DENJAH, DIAH! INNA DE SUNSPLASH FEVER§ OH! SHABAH, Hii inaniremind bak n' dayz wakati shaba yuko fayah! songi HOUSE CALL In 1978 Reggae Sunsplash ebwanae ilkuwa ni nomaa! babylon system walimharibia coz hakupenda 'CHICHIMAN' BT so mbaya yupo stil doin' myuzik dung in jamrock.
 

mzee ulitaka kutuuzia mbuzi kwenye gunia?....hahahaha!
 
Mimi nimeuliza hapo kwenye nyekundu kuwa US haiwezi kumpa visa, isitoshe kwenye Wikipedia(ingawa sio credible source) page ya Shabba Ranks wanasema anakaa New York


mzee ulitaka kutuuzia mbuzi kwenye gunia?....hahahaha!
wakuu mie niliiona majuzi nikasema huyu jamaa anafikiri anawaambia wanawe....yaani ilikuwa fix tupu..bwahahahaha


Huwezi kuja na fiksi kama hizi bila ya kuzifanyia utafiti you premium member......
 
wakuu mie niliiona majuzi nikasema huyu jamaa anafikiri anawaambia wanawe....yaani ilikuwa fix tupu..bwahahahaha



huwezi kuja na fiksi kama hizi bila ya kuzifanyia utafiti you premium member......

Mwenzenu mie huyu jamaa FMES namjua toka long time kuwa ni FIXER....but mara nyingi huwa analeta usanii wake kwenye majumba ya sanaa kwikwikwikwikwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…